sw_tn/ezk/08/05.md

642 B

Maelezo ya Jumla:

"Picha kama ya mtu" (8:1) inanena na Ezekieli.

Mwanadamu

"Mwana wa mwanadamu" au "mwana wa binadamu."

inua macho yako juu

"tazma" au "geuza kichwa chako na tazama"

lango linaloelekea kwenye madhabahu

"lango kupitia watu wanaotembea hivyo wanaweza kwenda kwenye madhabahu"

unaona kile wanachokifanya?

Mungu anatumia hili swali kuvuta usikivu wa Ezekieli kwa kile watu walichokuwa wakikifanya. "nataka kufahamu kwa nini nachukia kile watu wanachokifanya hapa."

nyumba ya Israeli

Neno "nyumba" ni badala ya familia inayoishi katika nyumba, katika kesi hii Waisraeli, uzao wa Yakobo zaidi ya miaka mingi.