sw_tn/ezk/08/03.md

803 B

Maelezo ya Jumla:

Ezekieli anaendelea kueleza kuhusu maono kutoka kwa Mungu.

akanyoosha

Neno "yeye" huenda linarejelea kwa "picha kama mtu"

kati ya mbungu na nchi

"kati ya anga na ardhi"

katika maono kutoka kwa Mungu, akanileta hata Yerusalemu

Neno "katika maono" inamaana kwamba huu uzoefu unatokea katika mawazo ya Ezekieli. Angeendelea kubakia nyumbani kwake wakati Mungu anapomwonyesha haya mambo.

lango la ndani la kaskazini

"lango la ndani la kaskazini mwa hekalu"

sanamu ile iletayo wivu mkubwa

"sanamu yule aletaye wivu mkubwa" au "yule sanamu anayemsababisha Mungu kuwa na wivu"

ambaye mwonekano wake ulikuwa ule ule nilipoona katika uwanda

"aliyeonekana sawa kama yule niliyemuona katika uwanda"

uwanda

eneo kubwa la nchi ya tambarare ambalo lina miti michache.