sw_tn/ezk/05/07.md

664 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kunena na watu wa Israeli na Yuda.

Bwana Yahwe

Jina la Mungu

Kwa sababu mmekuwa kikwazo kuliko

"kwa sababu hali yenu ya dhambi ni mbaya kuliko" au "kwa sababu ninyi ni makaidi kuliko"

yanayowazunguka

"yote yanayowazunguka."

kuacha kuenenda katika amri zangu

"Kuenenda ni mfano kwa njia mtu aishiyo. "kutokuishi kulingana na amri zangu" au "bila kuzitii amri zangu"

au tenda kulingana na maagizo yangu

"au kutii maagizo yangu"

Tazama!

"Tazama!" au "Sikia" au "Kuwa maini kwa kile nnachotaka kukwambia!"

nitatekeleza hukumu kati yako

"nitakuhumu katika njia tofauti tofauti" au "nitakuadhibu" (UDB).