sw_tn/ezk/04/14.md

747 B

Ee

Ezekieli anataabika kwa kile Bwana alichomwambia afanye. "Itakuwa si sawa kwa mimi kufanya hivyo"

Bwana Yahwe

Jina la Mungu. Hapa Ezekieli ananena na Bwana.

nyama ya kunuka

Hii inarejea kwa nyama ambayo ni najisi kwa sababu imekuja kutoka mnyama aliyekufa kwa ugonjwa au aliyezeeka au aliyeuawa na mnyama mwingine. Neno "kunuka" hunyesha karaha yake juu ya nyama kama hii. "kuchukiza, nyama najisi"

nyama ya kunuka haijawahi kuingia katika kinywa changu

"sijawahi kula nyama ya kunuka."

Tazama!

"Sikia" au "kuwa makini kwa jambo la muhimu nitakalokwambia sasa"

nimekupatia

"nitakuruhusu kutumia"

mbolea ya ng'ombe

uchafu mgumu kutoka kwenye ng'ombe au mbolea ya ng'ombe.

kinyama cha binadamu

uchafu wa mwanadamu.