425 B
425 B
mkono wa Yahwe
Neno "mkono" mara nyingi limetumika kurejea kwa nguvu ya mtu au tendo. "nguvu ya Yahwe."
utukufu wa Yahwe
fahari ya Yahwe
Kebari Kanali
Huu ni mto ambao watu katika Kaldea waliuchimba kupatia bustani zao maji.
nikaanguka kifudifudi
"nikasujudu chini hata chini" au "nikalala kwenye nchi." Ezekieli hakuanguka kwa ajali. Alianguka chini hata chini kuonyesha kwamba aliheshimu na kumuogopa Yahwe.