sw_tn/ezk/03/04.md

1.0 KiB

Maelezo ya Jumla:

Ezekieli anaendelea kutueleza kuhusu maono aliyoyaona.

akanambia

"yule aliyefanana na mwanadamu" (1:26). Hakuwa "roho."

nyumba ya Israeli

Neno "nyumba" ni mfani kwa familia inayoishi katika nyumba, katika kesi hii Waisraeli, uzao wa Yakobo zaidi ya mika mingi. "kundi la Waisraeli"

maneno ya kushangaza au lugha ngumu

"anayenena manenu magumu"

sio kwa taifa lenye nguvu la maneno magumu

"Sikupeleki kwa taifa lenye nguvu ambalo watu wananena maneno magumu"

Kama nikikupeleka kwao, wataweza kukusikiliza

Hii ni hali swali lisilohitaji kujibiwa ambalo litatokea lakini halitatokea. Yahwe hakumsimamisha Ezekieli kwa watu ambao hawakuweza kuelewa lugha yake.

Kama nikikupeleka

Neno "wao" linarejelea kwa taifa lenye nguvu tofauti na Israeli.

paji gumu na moyo mgumu

"uasi sana" au "kaidi sana"

paji gumu

lisilotaka kubadilika

moyo mgumu

Hili neno linashauri kwamba watu humpinga Mungu na hawataki kumtii. Moyo umetumika kueleza sehemu katika mwili ambapo mtu huamua kile wanachotaka kukifanya.