sw_tn/ezk/02/09.md

664 B

na mkono ulikuwa umenyooshwa kwangu

Ilikuwa kana kwamba, mtu katika mbingu alinyoosha mkono kumwelekea Ezekieli na Ezekieli angeweza kuona kutoka mkono hata kiwiko au bega

hati moja ya kukunja

"hati iliyokuwa imeandikwa"

Aliisambaza

Neno "Yeye" inarejelea kwa "yule aliyefanana na mtu" (1:26).

ilikuwa imeandikwa sehemu zote mbele na nyuma yake

"mtu mmoja alikuwa ameandika pande zote mbele na nyuma yake"

yaliandikwa maombelezo, huzuni na majonzi

"maombolezo," "huzuni," na "majonzi" "mtu mmoja aliandika juu yake kwamba hawa watu watahuzunika, kuhuzunika vile watakavyokuwa kama yule waliyempenda alikufa, na kuwa na mambo mabaya yaliwatokea"