sw_tn/ezk/02/07.md

246 B

Maelelzo ya Jumla:

Mungu anaendelea kunena na Ezekieli.

ni waasi mno

"ni waasi sana" au "kuasi kabisa juu yangu"

nyumba

Huu ni inasimama kwa familia inayoishi katika nyumba, kwa kesi hii Waisraeli, uzao wa Yakobo zaidi ya miaka mingi.