sw_tn/ezk/02/06.md

847 B

Maelezo ya Jumla:

Mungu anaendelea kunena na Ezekieli

mwana wa Adamu

"Mwana wa mwanadamu" Mungu anamuita Ezekieli kusisitiza kwamba Ezekieli ni mwanadamu tu. Mungu ana nguvu na huishi milele, lakini watu hawaishi milele.

mitemba na miiba na ... nge

Haya maneno yanawaeleza wana wa Israeli ambao watamtendea Ezekieli ukarimu wakati awaambiapo ambavyo Mungu asemavyo.

mitembe na miiba

Mitembe ni vichaka vilivyochongoka juu ya matawi. Zile sehemu zilizochongoka juu ya matawi zinaitwa miiba.

nge

Nge ni mnyama mdogo mwenye kucha mbeli, miguu sita, na mkia mrefu pamoja na mwiba wenye sumu. Mwiba wake una maumivu makali sana.

Usiyaogope maneno yao

"Usiyaogope yale wasemayo."

hofu kwa nyuso zao

Neno "nyuso zao" ni mfano kwa ujumbe watu wanaueleza kwa nyuso zao. "poteza shauku kuniokoa kwa sababu ya jinsi wakutazamavyo"