sw_tn/ezk/02/04.md

917 B

Maelezo ya Jumla:

Mungu anaenedelea kunena na Ezekieli.

Uzao wao

Uzao wa kizazi kilichopita cha Israeli aliye asi juu ya Mungu, inawarejelea watu wa wa Israeli kipindi Ezekeieli anapoandika.

sura za kikaidi na mioyo miguma

Maneno "sura za kikaidi" inarejelea jinsi walivyotenda nje, na neno "moyo mgumu" inarejea jinsi wafikiriavyo na kusikia. Yote yanasisitiza kwamba watu wa Israeli hawatabadilika jinsi walivyoishi ili kumtii Mungu.

wana nyuso za kikaidi

"wana sura kwenye nyuso zao zinazoonyesha kwamba ni wakaidi"

kaidi

"wasiotaka kubadilika"

moyo mgumu

Jiwe haliwezi kubadilika na laini, na hawa watu hawawezi kubadilika na kujuta wakati wafanyapo mambo maovu.

nyumba

Huu ni mfano kwa ajili ya familia inayoishi katika nyumba, kwa kesi hii Waisraeli, uzao wa Yakobo zaidi ya miaka mingi. "kundi la watu"

nabii alikuwa miongoni mwenu

"yule waliye mkataa kumsikiliza alikuwa nabii"