sw_tn/ezk/02/01.md

674 B

Maelezo ya Jumla:

Ezekieli anaendelea kueleza kuhusu maono aliyoyaona.

Akanambia

"yule aliyefanana na mwanadamu". (1:2). Hakuwa "yule Roho."

ROho

"roho" au "upepo."

Mwana wa mtu

"Mwana wa mwanadamu" au "Mwana wa binadamu." Mungu anamuita Ezekieli hivi kusisitiza kwamba Ezekieli ni mwanadamu tu. Mungu ananguvu na huishi milele, lakini watu hawawezi. "utu wa kufa" au "Binadamu"

kwa watu wa Israeli, kwa taifa lililo asi

"kwa Waisraeli, kwa watu walioasi." Manano haya mawili huwarejea watu wale wale. "kwa watu wa Israeli, ambao ni waasi."

hata hivi leo

Hii inamaanisha kwamba watu wa Israeli waliendelea kutokumtii Mungu. "hata sasa" au "hata leo."