sw_tn/ezk/01/26.md

360 B

juu ya vichwa

"juu ya vichwa vya viumbe hai"

ulikuwa na mwonekano wa kiti cha enzi

"kulikuwa na kitu kilichofanana kama kiti cha enzi"

samawati

jiwe la thamani sana ambalo ni blu safi na ling'aalo sana

juu ya kiti cha enzi kulikuwa

"juu ya kiti cha enzi kulikuwa"

mwonekano wa mmoja aliyefanana kama mwanadamu

"mtu aliyefanana na mwanadamu"