sw_tn/ezk/01/22.md

532 B

anga itanukayo

Kuba huonekana kama mpira mtupu uliokatwa nusu. "Kutanuka" maana yake kubwa sana.

fuwele inayovutia

fuwele inayovutia- "barafu inayong'aa"

yaliyonyooshwa kuelekea juu ya vichwa vyao

"na kuba inayotanuka ilikuwa imesambazwa juu ya vichwa vya viumbe"

Benethi kuba

"chini ya kuba"

Kila viumbe hai pia vilikuwa na njozi moja kujifunika wenyewe; kila kiumbe kilikuwa na njozi moja kufunika mwili wake mwenyewe

"Kila viumbe hai pia vilikuwa na mabawa mawili mengine, ambavyo walitumia kufunika miili ya"