sw_tn/ezk/01/19.md

530 B

Wakati viumbe hai walipoinuka kutoka kwenye nchi

Viumbe vilikuwa vikiruka katika anga baada kuondoka kwenye nchi. "Hivyo wakati viumbe walipoicha nchi na kwenda juu kwenye anga."

roho wa kiumbe hai

"roho yule yule aliyetoa uhai kwa viumbe pia alitoa uhai kwa magurudumu."

magurudumu pia yaliiuka

"magurudumu pia yaliiacha nchi na kwenda kwenye anga"

Popote Roho alipoenda, walienda

Neno "wao" hurejelea kwa viumbe.

magurudumu waliinuka juu karibu nao

"magurudumu yalipanda juu kwenye anga pamoja na viumbe hai"