sw_tn/exo/39/06.md

286 B

Maelezo ya Jumla

Bazaleli na kundi lake wanaendelea kutengeneza mavazi ya kikuhani.

muhuri

Hili lilikuwa jiwe lilochorwa ambalo lilitumika kutia alama ya mchoro kwenye kitambaa kibichi.

kama vile Yehova alivyokuwa amemwamuru Musa

"sawa na Yahweh alivyo mwambia Musa kufanya"