sw_tn/exo/39/04.md

12 lines
282 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Bazaleli na kundi lake wanaendelea kutengeneza mavazi ya kikuhani.
# ulikuwa wa kitambaa kilekile, kitani bora kilichosokotwa
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.
# kama vile Yahweh alivyokuwa amemwamuru Musa
"sawa na Yahweh alivyo mwambia Musa kufanya"