sw_tn/exo/38/17.md

779 B

Navyo vikalio ... maskani na kwa ajili ya ua kuzunguka pande zote ilikuwa ya shaba

Kwa 38:17-20 ona jinsi ulivyo tafsiri haya maneno katika 27:14 na 27:17

Navyo vikalio vya nguzo vilikuwa vya shaba

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.

Vibanio vya vikalio na viungo vyake vilikuwa vya fedha

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.

kulikuwa na viungo vya shaba kwa ajili ya nguzo zote za ua

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.

ishirini ... tano ... nne

"20 ... 5 ... 4"

Mikono

Mkono ni sentimita 46

utando wa vichwa vyake na viungo vyake ulikuwa wa fedha

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.

Na misumari yote ya hema kwa ajili ya maskani na kwa ajili ya ua kuzunguka pande zote ilikuwa ya shaba

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.