440 B
440 B
Kisha akafanya vitanzi ... ikawa maskani moja
Kwa 36:11-13 ona jinsi ulivyo tafsiri maneno haya 26:4
vitanzi vya uzi wa bluu
vitanzi vya vitambaa vya bluu
kitambaa
Haya yalikuwa vitambaa vikubwa vya kushona vilivyo tumika kutengeneza kifuniko na kuta za kugawanya patakatifu.
Akafanya
Hapa "akafnya" ya husu Bezaleli, lakini ina husisha wanaume wanao fanya kazi hekaluni.
kulabu hamsini za dhahabu
"kulabu 50 za dhahabu"