sw_tn/exo/33/12.md

445 B

Ona

"Tazama!" au "Sikia!" au "Kuwa makini kwa nitakalo kwambia."

Nina kujua kwa jina

Kumjua mtu kwa jina ni kumjua vizuri.

umepata upendeleo kwangu

Hii ni moja ya ambacho Mungu alimwambia Musa.

Kama nimepata upendeleo machoni pako

Hii ni moja ya Musa aliyo mwambia Mungu.

nionyeshe njia zako

Maana inayo wezekana ni 1) "nionyeshe unacho kwenda kufanya mbeleni" au 2) "nionyeshe jinsi watu wanawezaje kufanya yanayo kupendeza"