sw_tn/exo/31/10.md

181 B

Maelezo ya Jumla

Yahweh anaendelea kuzungumza na Musa.

mavazi yenye kufumwa kwa uzuri

Hii ilikuwa nguo iliyo tengenezwa kwa nyuzi mtu aliyo sokotwa pamoja kufanya uzi mgumu.