sw_tn/exo/31/06.md

550 B

Maelezo ya Jumla

Yahweh anaendelea kuzungmza na Musa.

Oholiabu ... Ahisamaki

Haya ni majina ya wanaume.

Nami nimetia hekima katika mioyo ya wote wenye moyo wa hekima

Mungu anazungumza kufanya watu kuweza kutengeneza vitu kana kwamba uwezo alikuwa anaweka kwenye mioyo yao.

hema la kukutania

Hili ni jina lingine la maskani.

sanduku la ushuhuda

Sanduku ni chombo kinacho hifadhi amri.

madhabahu ya kufukizia uvumba

"madhabahu ya kuteketeza uvumba"

madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa

"madhabahu ambayo sadaka ili teketezwa"