520 B
520 B
Maelezo ya Jumla
Yahweh anaendelea kumwambia Musa nini cha kufanya. Yahweh anampa amri Musa tu.
natafi, na shekelethi, na kelbena
Haya ni manukato.
Nawe utafanya uvumba wa vitu hivyo, manukato ya kazi ya ustadi wa mtengenazaji manukato, yatakuwa yamekolea
Neno "yamekolea" la weza tafsiriwa katika tensi tendaji.
mtengenazaji manukato, yatakuwa yamekolea
Maana zinazo wezekana ni 1) Musa alipaswa kumpa mtengeneza manukato kufanya kazi au 2) Musa alipaswa kufanya kazi peke yake.
utayaponda
"utasaga"