sw_tn/exo/30/10.md

229 B

Maelezo ya Jumla

Yahweh anaendelea kuongea na Musa.

pembe

Hizi zilikuwa mifano iliyo onekana kama pembe za ng'ombe zilizo katika miisho minne ya madhabahu.

katika vizazi vyenu vyote

"katika vizazi vyote vya uzao wenu"