Yahweh anaendelea kumwambia Musa jinsi ya kujenga vifaa vya kuabuduia.
Hapa "nawe" ya husu Musa na watu wa Israeli.
Hizi zilikuwa mifano ya pembe za ng'ombe zilizo wekwa kwenye miisho ya madhabahu.