352 B
352 B
Maelezo ya Jumla
Yahweh anaendelea kuongea na Musa.
Na hayo mavazi matakatifu ya Aruni yatakuwa ya wanawe baada yake
Haya mavazi yalikuwa ni ya kikuhani ni sio ya Aruni peke yake.
wayavae watakapotiwa mafuta, na watakapowekwa kwa kazi takatifu
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.
hema ya kukutania
Hili ni jina llingine la maskani.