313 B
313 B
Maelezo ya Jumla
Yahweh anaendelea kuongea na Musa
Lazima uweke
"Lazima uweke mkate, keki, na maandazi"
na kuleta pamoja na ng'ombe dume na wana kondoo wawili
Hpa "kuleta" ina maana ya kutoa dhabihu. Maana kamili ya hii yaweza tafsiriwa kwa wazi.
hema la kukutania
Hili ni jina lingine la maskani.