399 B
399 B
Maelezo ya Jumla
Yahweh anaendelea kuongea na Musa nini watu wafanye.
komamanga
Komamanga ni tunda la mviringo lenye ganda jekundu.
Kengele ya dhahabu na komamanga
Huu mstari umerudiwa kuonyesha ramani ya mchoro kwenye kanzu.
na sauti ya hizo kengele itasikilikana
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.
ili kwamba asife
Ina hashiriwa kwamba ata kufa kwasababu hakumtii Yahweh.