sw_tn/exo/28/29.md

523 B

Maelezo ya Jumla

Yahweh anaendelea kuongea na Musa nini watu wafanye.

atayachukua majina ya wana wa Israeli katika kile kifuko cha kifuani

Hii ya husu majina ya makabila yaliyo chorwa katika mawe kumi na mbili.

cha kifuani

"katika moyo wa Aruni" au "kifuani mwake"

hizo Urimu na Thumimu ... atachukua hukumu ya

Huu mstari wapili unaeleza hizo Urimu na Thumimu na kusudi lake.

hizo Urimu na Thumimu

Haiko wazi hizi ni nini. Vilikuwa vitu, labda mawe, ambayo makuhani walitumia kufahamu mapenzi ya Mungu.