sw_tn/exo/27/05.md

258 B

Maelezo ya Jumla

Yahweh anaendelea kumwambia Musa nini watu wafanye.

Nawe lazima uweke huo wavu chini ya kizingo kiizungukacho madhabahu

Wavu uliwekwa ndani ya madhabahu.

Nawe fanya miti kwa ajili ya madhabahu

Hii miti ilitumika kubeba madhabahu.