537 B
537 B
Maelezo ya Jumla
Yahweh anaendelea kumwambia Musa nini watu wafanye.
urefu wake dhiraa tano na upana wake dhiraa tano
"mita 2.2 kila upande"
madhabahu itakuwa mraba na kwenda juu kwake kutakuwa dhiraa tatu
"madhabahu itakuwa mraba na mita 1.3 kwenda juu"
dhiraa
dhiraa ni sentimita 46
Nawe fanya pembe nne kama mfano wa pembe za ng'ombe
"Nawe fanya muonekano wake kama pembe za ng'ombe katika miisho yake"
pembe zitakuwa
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji
utayafunika
" lazima ifunike madhabahu na pembe"