sw_tn/exo/22/07.md

546 B

amtunzie

"kuangaliza" au "kuweka salama"

kama itaibiwa

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.

mwizi

mtu anaye iba

kama mwizi akipatikana

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.

kuja mbele za waamuzi

"kuja mbele za waamuzi ili waweze jua kama"

ameeka mkono wake kwenye mali za jirani yake

Huu ni msemo. Kama namna ya kusema hivi katika lugha yako, waweza sema hapa.

malalamiko ya pande zote lazima zije kwa waamuzi

Waamuzi lazima wasikilize watu wote wawili wanao dai vitu ni vyao na waamuzi wataamua nani ana hatia.