sw_tn/exo/21/26.md

173 B

Kama mwanaume

Hapa "mwanaume" ya husu mmiliki wa mtumwa.

fidia

Fidia ni kitu mtu anafanya kwa mtu mwingine au anampa mtu mwingine kwa kile alicho sababisha kupoteza.