sw_tn/exo/21/18.md

271 B

alazwe kitandani

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.

akapona

"akapata nafuu"

gongo

Hii ni fimbo inayo weza egemewa wakati wakutembea.

muda aliye mpotezea

Hii ya husu hali wakati mtu hawezi pata pesa.

alipe matibabu yake yote

"gharama za matibabu"