sw_tn/exo/16/13.md

485 B

Ikaja kuwa kwamba

Hili neno linatumika kuweka alama ya tukio muhimu.

kware

Hawa ni ndege wadogo na wanene.

kama barafu

Wasomaji wa mwanzo walijua barafu ilivyo kuwa, hivyo neno hili litawasaidia kuelewa nini hiyo theluji ilivyo kuwa. Theluji ni umande ulio ganda unao undika kwenye ardhi. Ni nyeupe sana.

mkate

Mungu anaongelea chakula ambacho atakituma kana kwamba ni mkate. Waisraeli watakula hichi chakula kila siku, kama walivyo kula mkate kila siku kabla ya hichi.