sw_tn/exo/16/06.md

659 B

Sisi ni nani hadi mtulalamikie?

Musa na Aruni walitumia hili swali kuonyesha watu kwamba ilikuwa ni upumbavu kuwalalamikia wao.

mkate

Mungu anaongelea chakula ambacho atakituma kana kwamba ni mkate. Waisraeli watakula hichi chakula kila siku, kama walivyo kula mkate kila siku kabla ya hichi.

Nani ni Aruni na mimi?

Musa anatumia hili swali kuwaonyesha watu kuwa yeye na Aruni hawakuwa na nguvu yakuwapa walicho taka.

Malalamishi yenu sio dhidi yetu; ni dhidi ya Yahweh

Watu walikuwa wana lalamika dhidi ya Musa na Aruni, ambao walikuwa watumishi wa Yahweh. Hivyo kwa kulalamika dhidi yao, watu kihalisi walikuwa wana lalamika dhidi ya Yahweh.