sw_tn/exo/16/01.md

525 B

nyikani mwa Sinu

Neno "Sinu" hapa ni jina la Kiebrania la nyikani. Sio neno la kiengereza lenye maana ya "dhambi"

siku ya kumi na tano ya mwezi wa pili

Huu muda unaingiliana na mwisho wa Aprili na mwanzo wa Mei katika kalenda za Magharibi.

Jamii yote ya Waisraeli

"Waisraeli woe" Huu ni ujumla. Musa na Aruni hawakulalamika.

lalamika

"walikuwa na hasira na kusema"

Kama tu tungekufa

Hii ni namna ya kusema wangetamani kufa.

kwa mkono wa Yahweh

Manaeno "mkono wa Yahweh" wa wakilisha matendo ya Yahweh.