sw_tn/exo/15/17.md

541 B

Utawaleta

Pale Mungu atakapo waleta yaweza andikwa wazi. Tangu Musa bado hakuwa Kanani, baadhi ya lugha zitatumia "chukuwa" badala ya "leta"

kuwapanda kwenye mlima

Musa anaongelea kuhusu Mungu kuwapa watu wake nchi ya kuishi kana kwamba wao ni mti ambao Mungu anaupanda.

mlima wa urithi wako

Hii ya husu Mlima Sayuni katika nchi ya Kanani.

wa urithi wako

Musa anaongelea kuhusu Mungu kuahidi kuwapa watu mlima milele kana kwamba alikuwa anawapa urithi.

mikono yako iliyo jenga

Maneno "mikono yako" ya husu nguvu ya Mungu.