354 B
354 B
Nitaleta pigo kwa miungu yote ya Misri.
Hii yaweza andikwa katika kwa tensi nenaji
ya kuja kwangu
Hii ya hashiria kwamba Yahweh ataona damu ambayo yaonyesha nyumba ya Misraeli.
nitapita
Neno "kupita" ilikuwa desturi ya kusema husitembelee au kuingia.
kwenu pia, kwenye vizazi vyote vya watu wenu
"kwako wewe na vizazi vyote vya uzao wako"