sw_tn/exo/12/01.md

447 B

Kwako wewe, mwezi huu utakuwa mwanzo wa miezi, mwezi wa kwanza wa mwaka kwako

Hii mistari miwili ina maana moja na kukazia kuwa mwezi ambao haya matukio yana tokea ndio utakuwa mwanzo wa mwaka wa wao wa kalenda.

mwezi wa kwanza wa mwaka

Mwezi wa kwanza wa kalenda ya Kiebrania ya jumuisha sehemu ya mwisho ya Machi na sehemu ya kwanza ya Aprili katika kalenda za Magharibi. Ina weka alama wakati Yahweh alipo waokoa Waisraeli kutoka Misri.