384 B
384 B
ametenga muda
"ameeka muda" au "ameandaa muda"
mifugo yote ya Misri ikafa
Hii iwe ongezewa kukazia umakini wa tukio.
mifugo ya Misri
Hapa "Misri" ya husu watu wa Misri.
Farao akafanya utafiti
Farao akakusanya ukweli kuhusu hali.
tazama
Neno "tazama" hapa laonyesha kwamba Farao alishangazwa kwa alicho kiona.
moyo wake ulikuwa mjeuri
Hapa "moyo" wa husu Farao.