318 B
318 B
walipo ambiwa
Hii yaweza andikwa katika sentensi tendaji.
jumba
Hii ni nyumba kubwa sana mfalme anayo ishi.
mmetufanya chukizo
Wamisri wali wajibu Waisraeli kama walivyo kuwa wakijibu wanapo sikia harafu chafu.
wameweka upanga mkononi mwetu kutuua
Hapa "upanga" wawakilisha nafasi ya kuteketeza maadui.