395 B
395 B
nchi yote ya Misri
Huu ni msisitizo wa kuonyesha juhudi la ziada
wasimamizi
"waendesha watumwa" Hawa walikuwa Wamisri ambao kazi yao ilikuwa kuwalazimisha Waisraeli kufanya kazi ngumu.
kapi
sehemu ya mmea ambayo inabaki baada ya mavunop
kwanini ujatengeneza matofali yote yanayo kupasa ... hapo awali?
Wasimamizi walitumia maswali kuonyesha wana hasira kwa upungufu wa matofali.