461 B
461 B
Yahweh alikutana na Musa na akajaribu kumuua
Hii yaweza kuwa kwasababu Musa hakumtairi mwanae.
Zipora
Hili ni jina la mke wa Musa
kisu cha jiwe
Hichi kilikuwa kisu kliicho undwa kwa jiwe.
kwenye miguu yake
Ina wezekana kuwa neno "miguu" hapa limetumika kama namna ya heshima ya kutaja sehemu zake za siri za mwili.
wewe ni bwana arusi kwangu kwa damu
Maana ya umbo hili sio wazi. Yaweza kuwa ulikuwa msemo unao fahamika kwenye utamaduni wao.