sw_tn/exo/01/18.md

280 B

wakunga

Ona jinsi ulivyo tafsiri 1:15

Kwanini umefanya hivyo, na kuwaacha watoto kuishi?

Farao aliuliza hili swali kukemea wakunga kwa kuruhusu watoto kuishi.

Wanawake wa Kiebrania hawapo kama wanawake wa Kimisri

Wakungu walijibu kwa hekima kuridhisha hasira ya Farao.