sw_tn/exo/01/06.md

274 B

kaka zake wote

kaka zake wakubwa 10 na mdogo 1.

Walikuwa wamatunda

Uzao wa watoto kwa Waisraeli unasemekana kama vile mimea inayo zaa matunda.

nchi ili jazwa nao

Hii ya weza wekwa kwenye tensi tendaji. "Walijaza nchi"

pamoja nao

Neno "wao" la husu Waisraeli.