sw_tn/deu/33/12.md

625 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anaendelea kubariki kabila za Israeli, baraka ni shairi fupi.

Yule anayependwa na Yahwe anaishi

Hapa Musa anamaanisha ya washiriki wa kabila la Benyamini. Hii inaweza kuwekwa kwa hali ya kutenda. "Wale ambao Yahwe anawapenda anaishi"

anaishi kwa usalama

Nomino inayojitegemea "usalama" inaweza kutafsiriwa kutumia kitenzi. "anaishi ambapo hakuna mtu wa kumdhuru"

huishi katikati ya mikono ya Yahwe

Maana zaweza kuwa 1) Yahwe hulinda kabila la Benyamini kwa nguvu yake au 2) Yahwe anaishi katika eneo la mlima wa kabila la Benyamini. Katika tafsiri zote mbili, ina maana yahwe huwatunza.