sw_tn/deu/27/06.md

366 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "wako" hapa ni katika umoja.

mawe yasiyokuwa na kazi

mawe yaliyo katika maumbo yao ya asili ambayo hakuna mtu aliyeyachonga kwa vifaa vya chuma

Utaandika juu ya mawe

Hii ina maana ya mawe yaliyowekwa juu ya mlima wa Ebali na kufunikwa kwa lipu.