sw_tn/deu/22/18.md

542 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.

nao wanapaswa kumtoza faini

"na wanapaswa kumfanya alipe kama adhabu"

shekeli mia moja

"Shekeli 100"

na kumpatia baba wa binti

"na kumpa pesa kwa baba wa binti"

kasababisha sifa mbaya kwa bikra wa Israeli

Nomino inayojitegemea "sifa" inaweza kutafsiriwa kama msemo wa kitenzi. "amesababisha watu kufikiri ya kwamba bikira wa Israeli ni mtu mbaya"

hatakiwi kumfukuza

"usimruhusu amuache"

katika siku zake zote

Hii ni lahaja. "katika maisha yake yote"