sw_tn/deu/19/17.md

1016 B

Habari ya jumla

Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli.

mmoja kati ya yule utata upo

"mmoja kati hakubaliani na mwingine"

anapaswa kusimama mbele ya Yahwe, mbele ya makuhani na waamuzi

Hii inamaanisha watu wawili wanapaswa kwenda mahali patakatifu ambapo uwepo wa Yahwe ukaa. Mahali patakatifu wako makuhani na waamuzi ambao wana mamlaka kufanya maaumizi ya kisheria kwa Yahwe.

kusimama mbele ya Yahwe, mbele ya makuhani na waamuzi

Maneno "kusimama mbele" ni nahau. Inamaanisha kwenda kwa mtu aliye na mamlaka na kumwacha afanye maamuzi ya kisheria kuhusu jambo.

Waamuzi wanapaswa kuchunguza kwa uangalifu

"Waamuzi wanapaswa kufanya kazi kwa nguvu sana kuamua kilichotokea"

basi lazima umfanyie, kama alivyotaka kumfanyia ndugu yake

"basi unapaswa kumwadhibu shahidi muongo vilevile kama alivyokutaka wewe umwazibu mtu mwingine"

utaondoa uovu kutoka miongoni mwenu

Hili jina"uovu" linaweza kusemwa kama kivumishi. "kwa kumwadhibu shahidi muongo, utaacha uovu huu ndani ya taifa lenu"