sw_tn/deu/19/14.md

656 B

Habari ya jumla

Musa bado anazungumza na watu wa Israeli.

Haupaswi kuondoa alama ya ardhi kwa jirani yako

Maana kamili ya maelezo haya inaweza kufanywa wazi. "Haupaswi kuchukua ardhi kutoka kwa jirani yako kwa kuondoa alama kwenye mipaka ya ardhi yake"

wao kuweka mahali

"ambayo babu zenu waliweka"

muda mrefu uliopita

Musa anamaanisha kwamba wakati watu walipoishi kwenye nchi kwa muda mrefu, hawapaswi kuondoa mipaka ambayo babu zao walifanya wakati walipochukua nchi.

katika urithi wenu ambayo mtarithi, katika nchi ambayo Yahwe Mungu wenu anawapa kumiliki

Yahwe kuwapa nchi kwa watu wa Israeli husemwa kama walikuwa wanarithi nchi.